Ajira za Ualimu na Bajeti ya OR - AMISEMI kwa mwaka wa Fedha 2023/24
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akiwasilisha bungeni hotuba ya OR - AMISEMI kwa mwaka wa Fedha 2023/24 pamoja na Mkutao wake na Waandishi wa Habari uliolenga kutangaza nafasi za ajira za Watumishi wa Umma kwa Kada za Afya na Ualimu.