Vigezo na Masharti

Karibu kwenye tovuti yetu. Kama utaendelea kusoma na kutembelea kurasa mbalimbali, unakubaliana kufuata na kuzingatia vigezo na masharti ya utumiaji wa tovuti hii ambayo pamoja na Sera ya Faragha iliyopo kati ya Tume ya Utumishi wa Walimu, wewe na tovuti hii. Kama haukubaliani na sehemu yoyote ya vigezo na masharti haya, tafadhali usitumie tovuti yetu.

Kwa kutumia tovuti hii unalazimika kuwa chini ya vigezo vifuatavyo vyamatumizi:

Maudhui yaliyopo kwemye kurasa za tovuti hii ni kwa ajili ya matumizi ya kukupa taarifa tu, na maudhui haya yanaweza kubadilika bila kukutaarifu.

Siyo sisi au mdau wetu yoyote au aliyehusika na tovuti hii anakuhakikishia kuwa taarifa zilizopo na nyaraka nyingine zozote zinazopatikana kwenye tovuti hii ni za kuaminika kabisa, zinafaa kwa nyakati zote, zimekamilika kwa matumizi mengine yoyote yanayokusudiwa.

Matumizi ya taarifa na nyaraka au maudhui yoyote kwenye tovuti hii unatakiwa kutumia kwa tahadhari kwa kuwa hatutahusika na matumizi hayo. Itakuwa ni jukumu lako kuhakikisha kuwa maudhui yoyote, huduma na taarifa zinazopatikana katika tovuti hii zinaendana na mahitaji yako.

Tivuti hii imebeba maudhui ambayo tunayamiliki au tuna leseni ya umiliki. Miongoni mwa maudhui hayo ni pa pamoja na usanifu, mpangilio, muonekano na picha. Hauiruhusiwi kudurufu au kuzalisha maudhui hayo bila kuzingatia hakimiliki ambayo ni sehemu ya vigezo na masharti haya.

Alama zote za biashara zilizotumika au zilizohusika kwenye hii tovuti, ambazo siyo mali au mwendeshaji wa tovuti hana leseni yake zinatambuliwa.

Matumizi ya tovuti hii yasiyoruhusiwa yanaweza kusababisha madai ya kufidia uharibifu na/ au kuwa kosa la jinai.

Mara kwa mara, tovuti hii inaweza kujumuisha viunganishi vya/ kwenye tovuti nyingine. Viunganishi hivyo vimewekwa kwa madhumuni ya kukupa taarifa zaidi. Viunganishi hivyo havimaanishi kuwa tunahusika na tovuti hizo. Hatuwajibiki na taarifa au maudhui ya  tovuti hizo zilizounganishwa kwa viunganishi hivyo.

Matumizi ya tovuti hii na migogoro yoyote itakayotokea kutokana na matumizi hayo nazingatia matakwa ya Sheria ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.