Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, Dkt. Charles Msonde (wa nne kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu wa TSC, Mwl. Paulina Nkwama (wa tatu kutoka kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji na Utumishi wa Wizara Elimu na Mafunzo ya Amali ya Zanzibar, Bi. Mtumwa Iddi Hamad (wa nne kutoka kushoto) na wataalamu wengine kutoka TSC na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ya Zanzibar katika ofisi za Naibu Katibu Mkuu huyo jijini Dodoma Februari 12, 2024.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi...