Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) akipokea taarifa ya makabidhiano na vitendea kazi kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Angellah Kairuki ambaye kwa sasa ni Waziri Maliasili na Utalii, mara baada ya kuwasili Ofisi za Wizara zilipo Mji wa Kiserikali Mtumba jijini Dodoma na kupokelewa na Viongozi, tarehe 04 Septemba, 2023.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya...