Mwl. Paulina Mbena Nkwama, ndc

Paulina Mbena Nkwama, ndc photo
Mwl. Paulina Mbena Nkwama, ndc
Katibu

Barua pepe: paulina.nkwama@tsc.go.tz

Simu: +255-754-216-036

Wasifu
  1.  

Cheo kingine Kiuongozi:

  • Katibu Tawala Msaidizi – Elimu, Mkoa wa Kilimanjaro (2018 – 2021);
  • Mkurugenzi Msaidizi – Elimu ya Sekondari, OR-TAMISEMI (2013 -2018);
  • Mkuu wa Shule – Shule ya Sekondari ya Wasichana Kilakala (2009 – 2011);
  • Mkuu wa Shule – Shule ya Sekondari King’ongo (2006 – 2009).

2.

Ujuzi katika Kazi:

Miaka 24.

3.

Ujuzi katika Uongozi:

Miaka 16.

4.

Kiwango cha Elimu Kitaalamu:

  • Shahada ya Uzamili katika Ulinzi na Mafunzo ya Kimkakati (2016 – 2017);
  • Shahada ya Uzamili katika Ualimu (2001 – 2004);
  • Shahada ya Sayansi na Ualimu (1993 – 1997).