Kanusho
Kanusho
Tovuti hii na habari hutolewa bila udhamini wa aina yoyote, ulioonyeshwa, wazi au wa kisheria. Ofisi ya Katibu haihusiki au haitahusika na upotevu au uharibifu wa aina yoyote utakaosababishwa na matumizi ya taarifa yoyote inayopatikana/ itakayopatikana kwenye tovuti hii.