Walimu Walioajiriwa 37,473
Katika kipindi cha Serikali ya awamu ya sita cha kuanzia Mwezi Machi 2021 hadi Oktoba 2024 jumla ya walimu 37,473 waliajiriwa na kupangiwa vituo vya kazi katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.