DAWATI LA KUHUDUMIA WASTAAFU

08 Apr, 2022

Katika kuthamini mchango wa Wastaafu katika Utumishi wa Walimu na Utumishi wa Umma kwa ujumla, Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) imeanzisha DAWATI LA KUHUDUMIA WASTAAFU. Huduma hiyo inapatikana TSC Makao Makuu, gharofa ya tatu (3) chumba namba 65.

 

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 026 2322421 / 0716 542 229 / 0688 303 084 / 0714 980 774 / 0767 806 111.

 

KARIBU TUKUHUDUMIE!