Walimu Waliothibitishwa Kazini 37,473
Katika kipindi cha kuanzia mwaka 2020/2021 hadi 2023/2024 jumla ya Walimu 37,473 walithibitishwa kazini baada ya kukidhi vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa sheria.