KIKAO KAZI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU, KUTOA MSAADA MAGEREZA NA KUTUNUKIWA CHETI

Picha za matukio kuhusu kikao kazi cha wadau wa elimu kutafuta ufumbuzi wa changamoto za walimu, TSC kutoa msaada Gereza la Isanga jijini Dodoma na TSC kutunukiwa cheti kwa kuandaa Mkataba wa Huduma kwa Mteja uliokidhi viwango. Matukio hayo yalifanyika mwezi Juni, 2023.