TSC YATOA MAFUNZO UTUMIAJI WA MFUMO WA TSCMIS

TSC imetoa mafunzo kwa watumishi wake kwa ajili ya kutumia mfumo wa TSCMIS. Mafunzo hayo yalifanyika Oktoba 10 - 13, 2022 mjini Morogoro.