WAZIRI KAIRUKI AKARIBISHWA TAMISEMI, BASHUNGWA AAGWA

Picha za hafla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Jasmine Kairuki na kumuaga Mhe. Innocent Bashungwa ambaye amehamishiwa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.