Siku ya UKIMWI Duniani
13 Nov, 2026
00:00 - 23:59
Tanzania
Siku ya UKIMWI Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 1 Desemba kwa lengo la kuongeza uelewa wa jamii kuhusu maambukizi ya VVU na UKIMWI, kuhamasisha juhudi za kuzuia maambukizi mapya na kuimarisha upatikanaji wa huduma za upimaji, matibabu na matunzo. Aidha, siku hii hutumika kuonesha mshikamano na watu wanaoishi na VVU, kuwakumbuka waliopoteza maisha kutokana na UKIMWI na kuhamasisha jamii kupinga unyanyapaa na ubaguzi.