Siku ya Uhuru na Jamhuri
13 Nov, 2026
00:00 - 23:59
Tanzania
Siku ya Uhuru na Jamhuri huadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Desemba kukumbuka historia ya Tanganyika kupata uhuru kutoka kwa utawala wa kikoloni wa Uingereza tarehe 9 Desemba 1961 na kuanzishwa kwa mfumo wa Jamhuri tarehe 9 Desemba 1962. Siku hii ni sehemu muhimu ya historia ya Taifa inayokumbusha wananchi umuhimu wa kuenzi uhuru, umoja, amani, mshikamano na kulinda misingi ya Taifa.