Idadi ya Walimu
Kufikia Septemba 30, 2026, idadi ya walimu wanaohudumiwa na Tume ya Utumishi wa Walimu ni 297,584. Katika idadi hiyo walimu 111,557 ni wa shule za sekondari na Walimu 186,027 ni wa shule za msingi.