Walimu waliobadilishiwa kazi/cheo
Katika kibali cha upandishwaji vyeo na ubadilishwaji Muundo cha mwaka 2025/26, walimu 1,022 walibadilishiwa kazi/cheo baada ya kujiendeleza kielimu kwa kuzingatia muundo wa utumishi wa Ualimu.