Walimu waliopandishwa vyeo
Katika kibali cha upandishwaji vyeo cha mwaka wa fedha 2025/2026, Tumeilipandisha vyeo walimu 52,056 ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali katika kuboresha maslahi na maendeleo ya watumishi wa kada ya ualimu.