Bibi. Kainda S. Ndasa

Kainda S. Ndasa photo
Bibi. Kainda S. Ndasa
Mkuu wa Kitengo - Teknolojia ya Habari Mawasiliano (TEHAMA) na Takwimu

Barua pepe: kainda.ndasa@tsc.go.tz

Simu: +255 026-2322402

Wasifu
  1.  

Cheo kingine Kiuongozi:

  • Mjumbe wa Kamati ya TEHAMA;
  • Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Wizara ya Fedha na Mipango (2013 - 2019).

2. 

Ujuzi katika Kazi:

22

3.

Ujuzi katika Uongozi:

09

4.

Kiwango cha Elimu Kitaalamu:

Shahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Teknolojia ya Habari