Bw. Lameck S. Mbeya

Lameck S. Mbeya photo
Bw. Lameck S. Mbeya
Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi

Barua pepe: lameck.mbeya@tsc.go.tz

Simu: +255-655-437-088

Wasifu
  1.  

Cheo kingine Kiuongozi:

  • Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi - Wizara ya Maji (2019 - 2020);
  • Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi - Wizara ya Maendeleo ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (2006 – 2011);
  • Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi - Idara ya Ufundi na Umeme (1994 – 1999).
 

2.

Ujuzi katika Kazi:

Miaka 32

 

3.

Ujuzi katika Uongozi:

Miaka 13

 

4.

Kiwango cha Elimu Kitaalamu:

  • Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika Usimamizi wa Ununuzi na Ugavi - Chuo Kikuu Mzumbe (2008 – 2010);
  • Cheti cha Utaalamu wa Ununuzi na Ugavi - Bodi ya Ununuzi na Usimamizi wa Ugavi (2006);
  • Shahada ya Usimamizi wa Ununuzi na Ugavi - Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) (2002 – 2005).