Walimu waliopandishwa cheo 386,299

Katika Kipindi cha miaka minne (4) cha kuanzia 2020/2021 hadi 2023/2024 walimu 386,299 walipandishwa vyeo ambapo mwaka 2020/2021 walimu waliopandishwa vyeo walikuwa 126,346, mwaka 2021/2022 walimu waliopandishwa vyeo walikuwa 35,112, mwaka 2022/2023 walimu waliopandishwa vyeo walikuwa 65,925 na mwaka 2023/2024 walimu waliopandishwa vyeo walikuwa 158,916.