Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Zainabu Katimba (Mb) (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la TSC mara baada ya kufungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la TSC Aprili, 8, 2024 jijini Dodoma. Wengine (waliokaa) ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI (wa pili kutoka kulia), Dkt. Charles Msonde, Katibu wa TSC, Mwl. Paulina Nkwama (wa pili kutoka kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu TSC, Bw. Zachary Dida (wa kwanza kutoka kulia) na Katibu wa Baraza la Wafanyakazi TSC, Mwl. Ramadani Ngaegela.
Naibu Waziri, Ofisi ya Ra...