Ni heshima kubwa kuwakaribisha kwenye tovuti ya Tume ya Utumishi wa Walimu. Nina uhakika kuwa maudhui au taarifa zilizowekwa hapa ni za kuelimisha, kuvutia na zinazoendana na matarajio yako kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu.
Tume ya Utumishi wa Walimu, Imekuwa ikitekeleza majukumu yake kama yalivyoainishwa chini ya Kifungu cha 5 cha Sheria ya Tume ya Utumishi wa Walimu Na. 25 ya...